D DewanZilyVio New Member Joined Jul 16, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Aug 18, 2013 #1 Habari wananchi nini wazo ambalo linabadili ufaulu wawanafunzi hasa kidato cha nne nakufuta aibu tulionayo sema sina mtu au kampuni ya kuniwezesha. Naombeni msaada tufanikishe hili ninayo proposal tayar kwa maeasiliano namba yangu ni +255712709179
Habari wananchi nini wazo ambalo linabadili ufaulu wawanafunzi hasa kidato cha nne nakufuta aibu tulionayo sema sina mtu au kampuni ya kuniwezesha. Naombeni msaada tufanikishe hili ninayo proposal tayar kwa maeasiliano namba yangu ni +255712709179
Horseshoe Arch JF-Expert Member Joined Aug 10, 2009 Posts 13,402 Reaction score 12,787 Aug 18, 2013 #2 Wazo tu mfumo ubadilike? +255 787 770770 Ni no ya Mr President na +255 787 400 700 Ya Kawambwa wauzie hilo wazo
Wazo tu mfumo ubadilike? +255 787 770770 Ni no ya Mr President na +255 787 400 700 Ya Kawambwa wauzie hilo wazo
U upendo_20 JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 1,433 Reaction score 55 Aug 18, 2013 #3 endelea kupiga kitabu wewe elimu gani ya kidato cha nne?