Unafaidika Vipi?
Kuna makampuni hugawa gawio (dividend) kwa wanahisa, na makampuni mengine hawana. Hivyo kabla ya kununua omba ushauri kwa brokers. Mf wa brokers ni km vile orbits securities, rasilimali, pitia web ya
www.DSE. con km sikosei. Wsmeweka list ya brokers.