Elimu kuhusu kufungua Tigopesa & M-Pesa

nyantuzu

Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
87
Reaction score
24
Habari zenu wana jamvi, naomba mwenye uelewa au anaefanya hii biashara ya tigo pesa na m-pesa anipe mwongozo kidogo. Kuhusiana na Commission inakuwa kiasi gani, mtaji kwa kuanzia tigo pesa ni kiasi gani na taratibu za kupata line inakuwaje? Natanguliza shukrani.
 

Tafuta Till zote za m pesa, tg pesa na airtel money, plc 4 busnes na capital wll b over, iam de one whom run It
 
Ni bure bt bora ununue coz vya bure watakuzungusha sn It may take 3 to 4 months

Sasa wanapoziuza ni wapi? au wao wenyewe? Na itagharim shing ngapi kwa line moja mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…