C Clinton Apolo Member Joined Dec 25, 2012 Posts 10 Reaction score 1 Dec 26, 2012 #1 Mpango dhidi ya mpambano juu ya rushwa ni kwa kiwango kipi umeweza kuwafikia watanzania
C Chang'o Senior Member Joined Dec 21, 2012 Posts 105 Reaction score 21 Dec 27, 2012 #2 Ongeza nyama kidogo kwenye habari ili tukuelewe vizuri na kutoa michango
C Clinton Apolo Member Joined Dec 25, 2012 Posts 10 Reaction score 1 Dec 31, 2012 Thread starter #3 Mpango wa kitaifa dhidi rushwa na mpango wa utekelezaji (NASAPII) ni kwa kiwango gan umewafikia watanzania? Naomba mada hii wahusike watu wanaofatilia mambo na kuyaelewa. Thenks in advance
Mpango wa kitaifa dhidi rushwa na mpango wa utekelezaji (NASAPII) ni kwa kiwango gan umewafikia watanzania? Naomba mada hii wahusike watu wanaofatilia mambo na kuyaelewa. Thenks in advance