Mkuu hapa amemaliza kila kitu, fata huu ushauri.Kwa maelezo yako sidhani kama sayansi ya o'level itakusumbua.
Mtafutaji hachoki kupambana na anae jaribu ndio anae weza usihofuKwanza nakupongeza kwa juhudi binafsi na utambuzi wa mambo kama Mungu alivyo kubariki.
Mimi nashauri uende VETA ukaonane na administrator ili akukutanishe na mkuu wa chuo, na kisha muelezee kama ulivyo jieleza hapa na akuelewe. Nafikiri wewe watakupa kipaumbele kama watu/vijana wenye vipaji maalum na kisha utapewa maelekezo machache kuhusiana na nini ufanye (nadhani hua wanatoa kozi fupi kwa watu wenye vipaji/wanao fahamu).
Baada ya hapo, ndipo then uje uangalie jinsi ya kusoma QT kwaajili ya kupata cheti cha O-Level.
Kwangu mimi adi hapo ulipofikia (kwa maelezo yako), nafikiri unahitaji kwanza kupata cheti cha VETA na kisha ndipo uhangaike na cheti cha O-Level.
Kwa nin usingeanzia VETA mkuu?
Anza vetaKwanza nakupongeza kwa juhudi binafsi na utambuzi wa mambo kama Mungu alivyo kubariki.
Mimi nashauri uende VETA ukaonane na administrator ili akukutanishe na mkuu wa chuo, na kisha muelezee kama ulivyo jieleza hapa na akuelewe. Nafikiri wewe watakupa kipaumbele kama watu/vijana wenye vipaji maalum na kisha utapewa maelekezo machache kuhusiana na nini ufanye (nadhani hua wanatoa kozi fupi kwa watu wenye vipaji/wanao fahamu).
Baada ya hapo, ndipo then uje uangalie jinsi ya kusoma QT kwaajili ya kupata cheti cha O-Level.
Kwangu mimi adi hapo ulipofikia (kwa maelezo yako), nafikiri unahitaji kwanza kupata cheti cha VETA na kisha ndipo uhangaike na cheti cha O-Level.
Asante sana kwa ushauriKwanza nakupongeza kwa juhudi binafsi na utambuzi wa mambo kama Mungu alivyo kubariki.