BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 482
Wanajamvi naomba kujua ikiwa serikali iliokuwapo madarakani imetangaza kuwa ELIMU NI BURE KUANZIA CHEKECHEA HADI KIDATO CHA NNE.
Sasa kinanochonishangaza hawa ombaomba na watoto zao barabarani kutwa wapo yaani saa 12 nanusu asubui kama wanakwenda makazini na wao wanawahi kwenye vijiwe vya taa za kuongozea magari wanaomba. Ukiwachunguza vyema hawna kasoro ni wazima wote wanauwezo wakufanua kazi hata kulima wakalima ila utawaona kwenye madirisha ya magari na daladala wanaomba mbaya zaidi wale watoto sasa hivi wameform tabia ya kutemea watu mate kisa umekataa kumsaidia pesa anayo omba.
swali langu kwa mamlaka husika je ni kuwa hawlioni hili swala au ndio jipu bado change halijakomaa kupasuliwa??
Wizara ya inayo dill na watoto wanalichukuliaje hili swala watoto kutwa wanaanikwa juwani kama dagaa wakauke kuwasaidia wazazi wao kuomba, mbaya zaidi utakuta mmama au binti kafunga mtoto mdogo mgongoni kutwa juani anaomba anakatesa kale katoto.
Kingine kwanini wananchi wasiache kuwpa pesa hawa watu maana wanazikusanya sio mchezo kwa siku wanafunga hata elfu70, jiulize wewe unaetoa pesa kwa ombaomba unaingiza kiasi gani kwasiku halafu piga hesabu yeye kwa mwezi anaingiza kiasi gani ambacho hakikatwi kodi yoyote ile, hii ndio inachangia ongezeko la ombaomba mijini.
ingekuwa ni amri yangu walai ningetembeza bakora kila nitakapo wakuta barabarani.