Elimu Bure?,elimu Bora?

Elimu Bure?,elimu Bora?

Jux ze njombe

Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
7
Reaction score
1
aje wadau wazto wa JFs??
leo wadau nina maswali hapa hasa kwa cc wa chadema..km unajua majibu/jibu utatusaidia,
1..hv kwann ccm walfanya uchaguz wa mgombea wao mapee..ma
2..hv n kweli lowassa katoa kitita kzto chadema.
3..lowassa kaxema atatoa elimu buree nan kawah kumuulza km itakua bora.au ndo mnapenda bure kuliko bora?
4..hv kwann silaa hakupita kwenye kura za maoni?
5..hv n akna nan waliofanya mchakato wa ukawa&wako wap?
6...hv n mwanasiasa gan aliyekushawsh ujiunge na chadema na yuko api?
7..hv n nan aliyekua anatumia fedha ktk kupata wadhamin mikoani na leo anatumia nn kukdanganya ww?
8..hv kuna miez flan hv chadema walipoizndua sera yao ya M4C waliweza kuzunguka tz yote kwa zile helicopter 3,je zile pexa walipata wap?

tubadlshane mawazo!!
 
Kunguni out Kitanda chetu kiwe salama, mengine yatafuata baadaye!
 
Back
Top Bottom