Elewa maana ndio ukomentiiiiii

Unataka kusema wale ndg walitaka wapewe $ lkn wakapewa vifaa wakanyamaza bila kuridhika?
Serikali imekuw na mkono mgumu?
 
Ingekua swali kwenye pepa hili linajibika kabisa ila kwakua jf ngoja nikuache
 
Hayo maneno kasema sheikh kundecha mwenyekiti wa baraza la waislamu wakati akihojiwa kuhusu madiwani na wabunge wanaohamia ccm eti kuunga mkono juhudi za nanihiii..anamaaanisha wanalazimika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…