Elephants poaching in tanzania on pbs right now

pembe nyingi zinatoka selous, ingawa pia zingine zinaletwa kutoka nchi zingine kutokana na udhaifu wa sheria zetu
 
elephants wamekua psychologically affected when they see people, very uncharacteristic for elephants.
 
Mzungu amepelekwa mpaka kwenye pembe, kirahisiiiii, wakati waziri amekataa kwamba si kweli kuna biashara hiyo.
 
lakini ni ajabu mwandishi mzungu kupewa access ya namna hii mpaka kwenye storage ya pembe za ndovu. sidhani kama mwandishi "maganga" angepata access kama hii.
kweli miafrika....
 
Waziri Kagasheki baada ya kuonyeshwa ushahidi anasema " i am shocked to see this is happening in TZ" i am like really !!!!??? Kamuulize Kinana.
 
Documentary imeisha, watch yourself or read at the above link.
My conclusion, nchi hii haina mwenyewe.
 
'Kinana akifa,
Mimi siwezi kulia,
Nitamtupa mto wami,
Awe chakula cha mamba'.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Most of the people involved are none other but the government officials with the help of TISS. We lack streamlined leadership not only in Tanzania but Africa as a whole. Corruption is what we need to speak against and rebuke it.
 
Back
Top Bottom