wapo katika kampuni za simu,pia wanapatikana katika kampuni za minara,(kampuni zenye kandarasi za kazi za umeme,pamoja na mawasiriano angani)
wapo walikojiajiri,mi nawafahamu wawili ambao walinitanguria enzi hizo DIT,Sasa hivi wanaofisi yao hapa Dodoma,wanatengeneza mashine mbarimbari zikiwemo za kutotorea vifaranga.
Wapo vizuri tu kwa upande wa CASH