kwa wateja wa vodacom tuma *150*03*02# ukituma hii utaletewa menu ya kuchagua mchezo unaotaka kununua tiketi yake ,ukichagua mechi say Coastal vs Simba utaletewa namba ya booking yako ndani ya dakika thelathini hiyo booking yako itakuwa wazi na utaweza kununua tiketi kwa mpesa kama kawaida *150*00# na kufuata zile command zote,kuna mahali utaulizwa uingize namba ya booking ingiza hiyo namba,kwenye namba ya kampuni ingiza 888800.