Electrical technician

Msaada jaman kwa wale wataalam kuna kitu nimeona hapo ngoja niulize ...hivi TRADE GREDE I, GRADE II NA GRADE III mwenye grade hipi ambaye yupo Juu kielemu ....hapa namaanisha kwenye maswala ya ufundi
Mwenye PhD. Yaani Doctorate
 
Msaada jaman kwa wale wataalam kuna kitu nimeona hapo ngoja niulize ...hivi TRADE GREDE I, GRADE II NA GRADE III mwenye grade hipi ambaye yupo Juu kielemu ....hapa namaanisha kwenye maswala ya ufundi
Grade 1 yuko juu,lakini siku hizi hawatumii grade tena bali wanatumia level.
Kwa hyo ukienda kusoma utaanza level 1 Kisha level 2 then level 3.
 
Wewe ni muongo Dar tech huwa hakuna grade 1.
Ungeniambia umesoma VETA kidogo ningekuelewa.
Hiyo grade one umeisomea mwaka gani hapo Dar tech?
Mkuu umeharibu kabisaaa ungemstahi😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…