Sharifu kaimukirwa
Member
- Sep 18, 2018
- 17
- 5
AiseeUnafanya kazi kwa kuwa hali imebana sana au kwa kuwa ndio fani yako
Aisee
Labda unielezee cv yako umefanya kazi wapi na pia unaishi wapi halafu nitakushauri kitu.Mimi ni fundi wa umeme wa majumbani na viwandani. Ndugu zangu ali imebana sana mwenye kazi yake inayohusiana na maswala ya umeme asisite kunistua 0657499105 /0763898012
Niko tayari kufanya kazi popote ndani na nje ya nchi*
Naomba kuwasilisha
Unafanya kazi kwa kuwa hali imebana sana au kwa kuwa ndio fani yako
Unafanya kazi kwa kuwa hali imebana sana au kwa kuwa ndio fani yako
Una level gani kwenye ufundi wako?Nimefanya kazi na kampuni ya sengerem kwa mda wa miaka 5 katika ujenzi wa mradi wa REA phase 1 na 2
Kimakazi niko Dar
Nafanya kazi kwasababu ndio fani yangu
Wewe ni muongo Dar tech huwa hakuna grade 1.Grade 1 kutoka dar tech
Hakuna kitu kama hicho, usitudanganye tukakuona kihiyo bureGrade 1 kutoka dar tech
Wewe kwanini usimsaidie...Dah! Haya maisha haya, huyu anao ufundi ila sema kwenye suala la vyeti hivyo ndio shida. Km kuna yeyote mwenye nia na uwezo wa kumsaidia bila ya kuathirika na uwepo wake wa vyeti basi amsaidie.
Na Kama mtu Hana vyeti wewe unafikiri utamsaidiaje?umeme sio kitu Cha kubahatisha au unataka aunguze nyumba za watu?ufundi wa kumwaga zege ndio mtu yeyote anaweza kufanya hata Kama hajasomea lkn sio umeme yaani ukikosea hesabu kdogo tu umeunguza nyumba.Dah! Haya maisha haya, huyu anao ufundi ila sema kwenye suala la vyeti hivyo ndio shida. Km kuna yeyote mwenye nia na uwezo wa kumsaidia bila ya kuathirika na uwepo wake wa vyeti basi amsaidie.
Sasa hivi mtu yeyote anayefanya kazi za umeme ni lazima awe amethibitishwa na EWURA, la sivyo unashtakiwa. Na namna ya kujisajiri EWURA, ni lazima uwe na vyeti vya masomo ya umeme.Dah! Haya maisha haya, huyu anao ufundi ila sema kwenye suala la vyeti hivyo ndio shida. Km kuna yeyote mwenye nia na uwezo wa kumsaidia bila ya kuathirika na uwepo wake wa vyeti basi amsaidie.
Hii tz siku hizi kila kitu kinatolewa machoSasa hivi mtu yeyote anayefanya kazi za umeme ni lazima awe amethibitishwa na EWURA, la sivyo unashtakiwa. Na namna ya kujisajiri EWURA, ni lazima uwe na vyeti vya masomo ya umeme.
daaahUnafanya kazi kwa kuwa hali imebana sana au kwa kuwa ndio fani yako
Wewe ni muongo Dar tech huwa hakuna grade 1.
Ungeniambia umesoma VETA kidogo ningekuelewa.
Hiyo grade one umeisomea mwaka gani hapo Dar tech?