Electrical technician natafuta kazi

Hakuna standing technician mwenye VTA tu. Kwa sababu kua Engineer au Techinian ni academic qualification. Except, VTA inaweza kua added advantage or rather an important qualification kutegemeana na job requirement na nature ya taasisi.

Pili, najua kua minimum qualification kua Engineer ni B. Degree kama ilivyo kwa minimum qualification kwa Technician ni ku hold a diploma (majoring in Engineering).

Kwa case ya Tanesco, nina marafiki (degree holders) wameajiriwa kama Technicians kwenye regional offices za Tanesco..mwaka wa tatu huu unaisha!
 
Daaa hapo nimekuelewa sanaa
 
Hao walikuwa na diploma & degree me Niko tanesco mkuu ukiona mtu Ni technician huku ana degree ujue aliomba kwa kutumia level ya diploma
 
Soma vizuri uelewe nilichoandika inawezekana kiswahili kinasumbua.
Na kuhusu hao marafiki zako walioajiriwa kama technicians lakini ni degree holders ujue kuna kitu wamekifanya ndio kinawacost hadi leo.
Inawezekana hao rafiki zako wana vyeti viwili yaani wana vyeti vya Diploma na pia wana vyeti vya degree kwa hiyo ilipotangazwa kazi ya technicians(diploma) walitumia vyeti vyao vya Diploma na kuficha vyeti vya degree kwa lengo kwamba wakishaanza kazi ndipo waoneshe vyeti vyao vya degree kwa lengo la kupanda cheo,hii michezo ilifanyika sana miaka iliyopita ila kwa sasa hivi hairuhusiwi kuomba kazi kama upo overqualified na ikigundulika ulidanganya unaweza kushitakiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…