Hamna watu wa electrical engineering humu?
Tumo ila kwa muda mfupi wa miezi 6, usitegemee sana kutupata wenye maexperience yetu UNLESS dau litukamateHamna watu wa electrical engineering humu?
Ngalikihinja apply mkuu dau ni kubwa sana project ni kubwa ila ndio inaishia pia ikiisha kuna uwezekano wa kupata ajiraTumo ila kwa muda mfupi wa miezi 6, usitegemee sana kutupata wenye maexperience yetu UNLESS dau litukamate
Nimeattach Tangazo limeeleza yote. Please. Tuma maombi usitume PM![]()
Nimeattach Tangazo limeeleza yote. Please. Tuma maombi usitume PM![]()
Hamna watu wa electrical engineering humu?