Dah! Ongera sana ila izo kozi hazina future kabisa! Veta ni wazima kwenye kazi zaidi ya wanaotoka DIT au UDSMhabari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority kwenye kjazaa na vyuoo vipii ni vizurii kwa hizo kozi mbilii ukizingatiaa mdaa wa kuapply unaklbiaa kuishaa.. Msaada wakuu
Tatizo hamtaki kuelezwa ukweli! Huyu sio mwenzangu, huyu ni sawa na mwanangu wa kuzaaAcha kumpotosha mwenzio kwani kozi zote ni nzuri so yy tuu aamue anafikir ni ipi anaipenda
Acha nikushauri kuhusu chuo kwanza, hizo zote ziko UDSM!! i'd recommend coet!habari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority kwenye kjazaa na vyuoo vipii ni vizurii kwa hizo kozi mbilii ukizingatiaa mdaa wa kuapply unaklbiaa kuishaa.. Msaada wakuu
kwanini unamdanganya mwenzako?Electrical mkuu mana mechanical ni mziki darasani afu kazi zake pia zinapungua
Kozi zote ni nzuri na zina ajira za uhakika, we 2 ndo uchague unacho kipenda zaidi, na unataka kufanya kazi wap, mana zote unaweza kufanya kazi maeneo kama viwandani, jeshini and etc...habari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority kwenye kjazaa na vyuoo vipii ni vizurii kwa hizo kozi mbilii ukizingatiaa mdaa wa kuapply unaklbiaa kuishaa.. Msaada wakuu
Veta hawatoi mechanicalDah! Ongera sana ila izo kozi hazina future kabisa! Veta ni wazima kwenye kazi zaidi ya wanaotoka DIT au UDSM
Interesting...very interestingDah! Ongera sana ila izo kozi hazina future kabisa! Veta ni wazima kwenye kazi zaidi ya wanaotoka DIT au UDSM
Ukimuuliza mwanafunzi huyo swali hili hakika jibu kulipata nivigumu... "Unasoma kozi hii ili ukimaliza masomo ufanye kazi gani?Interesting...very interesting
habari zenuu wakuu.. Mimi ni kijana ambaye nimehtmu form six mwaka huu na nmefnkiwa kupata one ya Tisa kwa masomo ya PCM.. tatizoo languu lipoo kwenye hizo kozi ipiii nifnye ndo first priority kwenye kjazaa na vyuoo vipii ni vizurii kwa hizo kozi mbilii ukizingatiaa mdaa wa kuapply unaklbiaa kuishaa.. Msaada wakuu