Electric fencing

Kwa mfano nina ukuta wa mita za mraba 35 itacost kiasi gani kuweka security fence?
Tunatumia meter
Kwa mfano nina ukuta wa mita za mraba 35 itacost kiasi gani kuweka security fence?
Tunatoa quotation kwa kupima urefu wa ukuta kwa kipimo cha mita,kama unaweza kujua urefu wa ukuta wako tupm au wasiliana nasi kwa hizo contacts.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…