zebigmdau
Member
- Aug 12, 2015
- 6
- 3
Kama Siasa Ingekuwa Soccer bac Lowassa Ningeamuita Mastermind uyu Jamaa ...maana Anacheza na Akili za CCM ady wanashindwa kuleta Hoja ye AmeTulia Tuu akija AnaSpeak Sense anaPozi..
JK jana kwenye Ufunguz wa Kampen alishindwa kabisa kuTupa Hoja kwann Tumchague Magufuli zaid zaid aliToa Vijembe Tuu ...
Uyo Mkapa ndo Doooh aliTutia Aibu iv Tunaweza Hata kusimama mbele Za Nchi Jirani kusema uyu ni Rais wetu Mstaafu ...
Mwinyi ndo alikuwa kiHoja Funga kazi muda woTe aliTumia KuTuelezea CcmA CcmB na C
MAGUFULI kutokana na Pumba walizoOngea wezake akajiKuta anaIpaka maTope Ccm na Awamu zote zilizoPita bila ye kujiJua kwamba India Inaongoza kwa Mauzo ya Tanzanite TZ inashika naFas ya 3 akat hayo madini yanaPatikana hapa nchini tuu duniani koTe ..so Hii inaoNesha wazi Udhaifu wa Selikari ya CCM ...ambayo Wananchi wanaOnesha wazi kuchoshwa nayo
Nb: speech ya WARIOBA pekee ilikuwa na Mantiki japo ilikuwa na chembe za Unazi