El Classico: Barcelona Vs Real Madrid

huyu kinda wa madrid alikuwa wapi aisee morata 29
 
Madrid washaanza kunitia wasiwasi mmh ngoja nione
 
Game ya leo RMA wanacheza bila ya wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza kama Iker Casillas, Mesut Ozil, Xabi Alonso, Sami Khedira, Angel Di Maria, Gonzalo Higuain na Cristiano Ronaldo
 
Game ya leo RMA wanacheza bila ya wachezaji muhimu wa kikosi cha kwanza kama Iker Casillas, Mesut Ozil, Xabi Alonso, Sami Khedira, Angel Di Maria, Gonzalo Higuain na Cristiano Ronaldo

wametangulia Uingereza kuwamaliza Manyoo United
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…