Eid Mubarak!

Keykey

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2006
Posts
3,251
Reaction score
750
Nachukua nafasi hii kuwatakia Waisilamu wote na Wana-JF kwa ujumla sikuu njema ya Eid el Fitr.

Sikukuu inategemewa kuwa Jumapili ijayo, tutumie muda huu kushrehekea pamoja na familia zetu na pia tukumbuke na kutafakari mafunzo mema tuliyopata katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Eid Mubarak!

 
.

Sikukuu inategemea mwandamo wa mwezi. Mwezi utaangaliwa kesho Ijumaa kama ukionekana sikukuu itakuwa Ijumaa mosi na Ijumaa pili na kama Mwezi hautaonekana Ijumaa basi itabidi kutimiza siku 30 Hivyo sikuu itakuwa Ijumaa pili na Ijumaa tatu. Insh,Allah
 
Inshaalah!! Kila la heri kwa waislamu wote na watanzania wote, wabilah tawfiq!
 
Mkuu Barubaru, Pamoja na kusubiri mwandamo wa mwezi, usisahau kutukaribisha Pilau yakhe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…