hsnaturalfertility JF-Expert Member Joined May 14, 2022 Posts 1,026 Reaction score 2,240 Apr 10, 2024 #21 Dkt. Gwajima D said: Ninayo na Niko verified, sijaelewa kwa nini hii alama ya verification haionekani kwenu, ila mimi naiona, Ngoja ni consult tena kwa Maxence Melo Click to expand... Inaonekana vizuri kabisa muheshimiwa, heri ya sikukuu ya idi kwako pia๐
Dkt. Gwajima D said: Ninayo na Niko verified, sijaelewa kwa nini hii alama ya verification haionekani kwenu, ila mimi naiona, Ngoja ni consult tena kwa Maxence Melo Click to expand... Inaonekana vizuri kabisa muheshimiwa, heri ya sikukuu ya idi kwako pia๐
Dkt. Gwajima D Minister Joined Nov 28, 2015 Posts 1,708 Reaction score 8,688 Apr 10, 2024 Thread starter #22 hsnaturalfertility said: Inaonekana vizuri kabisa muheshimiwa, heri ya sikukuu ya idi kwako pia๐ Click to expand... Shukrani Sana, Heri kwako pia ndugu yangu katika ๐น๐ฟ Nashukuru kwa kunipa mrejesho kuwa, kumbe utambulisho wangu unasomeka verified๐๐๐
hsnaturalfertility said: Inaonekana vizuri kabisa muheshimiwa, heri ya sikukuu ya idi kwako pia๐ Click to expand... Shukrani Sana, Heri kwako pia ndugu yangu katika ๐น๐ฟ Nashukuru kwa kunipa mrejesho kuwa, kumbe utambulisho wangu unasomeka verified๐๐๐
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 15,429 Reaction score 34,530 Apr 10, 2024 #23 Heri ya sikukuu ya Idd na kwako pia Mheshimiwa