Eid imekaribia, huyo umpendae kashakununulia Pashmina?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
914
Reaction score
2,929
Wadada wa JF mpo?

Kwa hiyo huyo mhalifu mwenzako ameshakunulia Pashmina au utasubiri tu mwakani?

Wifi yenu ataendelea tu kuvaa madera na vijora

Binafsi napata ukakasi kumnunulia hayo mashuka tena kwa 150k wakati kuna vijora
 
Wake zenu wanapitia mengi

Hata mara moja moja kumpa zawad mkeo afurahi labda kama huna iyo laki na nusu
Wanawake wanapenda zawad haijalishi inaukubwa gan mtu akinunuliwa hata kitambaa Cha kufunga kichwan atakuja kwenye group na kutoa sifa za mume wake anampenda na kumjali na furaha tele
Sio wote wanapenda makuu mnunulie mkeo ajivunie ni kidogo ila atafurah
 
Mkuu nimesema hapo nitamnunulia vijora na madera

Masuala ya kuvaa mapazia mwilini hapana
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…