Eid hii hapa wananzengo

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,941
1,844
Salaam!

baada ya salama niende moja kwa moja kwenye mada. Ni juzi tu hii wakuu mmekula pasaka tena bila kujali hamkutualika wala nini mkawa mnajichana kivyenu vyenu.

Sasa wakati wa kuwanyoa umefika, tunaomba kwa heshima na taadhima kabisa mkae majumbani kwenu, Corona ipo sawa?

Kama kuna mtu ana dukuduku, apige huduma kwa wateja jumatatu, hatufanyi kazi wikiendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom