Sio mbaya na spea zipo kibao,bei zake ni kama ngapi huko.bei zake sio mbaya ,
Ungeanza kuulizia huko ingependeza zaidi.wakuu habari zenu , kama kichwa cha habari hapo juu .naomba munieleweshe kuhusu hizi bus za india uzuri wake na ubaya wake kwani sasa hivi nipo india nimeziona na bei zake sio mbaya , nimeingiwa na hamu kuchukua je wakuu spea zake zipo na vipi umazubuti wake unaridhisha asanteni wakuu
TATA wana branch Arusha na DSM kama sikosei.Bei za gari kwa walio Duniani sio mbaya
Ila kwa wale walioko pembezoni mwa Duniani n balaaa , Ila usije kuitelekeza bandarini
TATA iko Imara
Tena kwa wakati hu ambao tunajenga SGR na Stlinger.... kwa hera zetu za ndani na kipato peke kimebakia kua kodi utajutia kwanini ilienda IndiaBei za gari kwa walio Duniani sio mbaya
Ila kwa wale walioko pembezoni mwa Duniani n balaaa , Ila usije kuitelekeza bandarini
TATA iko Imara
hapa dar TATA inauzwa milion70 na lipo strong sana kuliko eicherwakuu habari zenu , kama kichwa cha habari hapo juu .naomba munieleweshe kuhusu hizi bus za india uzuri wake na ubaya wake kwani sasa hivi nipo india nimeziona na bei zake sio mbaya , nimeingiwa na hamu kuchukua je wakuu spea zake zipo na vipi umazubuti wake unaridhisha asanteni wakuu
Bei zake huko India ni Rupees ngapiwakuu habari zenu , kama kichwa cha habari hapo juu .naomba munieleweshe kuhusu hizi bus za india uzuri wake na ubaya wake kwani sasa hivi nipo india nimeziona na bei zake sio mbaya , nimeingiwa na hamu kuchukua je wakuu spea zake zipo na vipi umazubuti wake unaridhisha asanteni wakuu