Ehhhhh?! What???

Alf unakuta yuko home luku ikiisha au gas anampgia mmeo
Umesha sema yuko home,unataka atoe wap hela?na unataka amwambie nani?we si ulisema umekua na unataka kuoa,na uliahidi kumlea?

Sasa me nakushangaa umekuja huku kufanya nini?maana utatoa povuu wee lkn bado gas utanunua,luku utanunua,maji utalipia na kifurish kikiisha utanitumia,service ya gari juu yako mie aah navunja kiiko tu.
 
Muwe mnatuhurumia kidgo dada zetu, yn namaanisha yuko hme na pesa anayo inabdi vitu vingne muwe mnajiongeza
 
Shughuli ya kumchinja Kobe sio ndogo, ujiandae vzr na kisu kikiwa juu, uvizie kichwa cha Kobe anapokitoa Mara tu, bila kuchelewa ushushe kisu chap!...hahahahahaaaaa....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…