miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 31, 2017 #21 BIGstallion said: Sitoi.. Click to expand... tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100
BIGstallion said: Sitoi.. Click to expand... tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,919 May 31, 2017 #22 miss chagga said: tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100 Click to expand... ikifika 99 nakua nshajua...hunipati ng'oo
miss chagga said: tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100 Click to expand... ikifika 99 nakua nshajua...hunipati ng'oo
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,978 May 31, 2017 #23 miss chagga said: na mkituzalisha ndiyo mtajua maharage ni mboga Click to expand... Kwani hilo la kuzalishwa hujawahi lisikia? Halitakoma mkuu... Ila kuoa siku hizi ni sawa na kumchinja Kobe, lazima uchinje kwa timing.
miss chagga said: na mkituzalisha ndiyo mtajua maharage ni mboga Click to expand... Kwani hilo la kuzalishwa hujawahi lisikia? Halitakoma mkuu... Ila kuoa siku hizi ni sawa na kumchinja Kobe, lazima uchinje kwa timing.
N niah R I P Joined Sep 26, 2015 Posts 7,018 Reaction score 9,301 May 31, 2017 #24 Joseverest said: Ndio ndio mkuu nimeelewa Click to expand... Joseverest usiseme ndio sema ndiyo ndio ni wingi wa ndiye.
Joseverest said: Ndio ndio mkuu nimeelewa Click to expand... Joseverest usiseme ndio sema ndiyo ndio ni wingi wa ndiye.
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 31, 2017 #25 BIGstallion said: ikifika 99 nakua nshajua...hunipati ng'oo Click to expand... nitakuwa nishakufaidi nakuachia nafasi usiomeshe mwanao huku nikila zangu kwa raha
BIGstallion said: ikifika 99 nakua nshajua...hunipati ng'oo Click to expand... nitakuwa nishakufaidi nakuachia nafasi usiomeshe mwanao huku nikila zangu kwa raha
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,919 May 31, 2017 #26 miss chagga said: tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100 Click to expand... Heh,na mim natoa apo apo,tena ndo naanza,.afu wanakufungia kweny kale kachemba ka mikojo,...nkua sijakuelewa haha
miss chagga said: tunasehemu ya kuwabana ni pesa ndogo tu natoa lakini utarudisha mara 100 Click to expand... Heh,na mim natoa apo apo,tena ndo naanza,.afu wanakufungia kweny kale kachemba ka mikojo,...nkua sijakuelewa haha
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 31, 2017 #27 Nanoli said: Kwani hilo la kuzalishwa hujawahi lisikia? Halitakoma mkuu... Ila kuoa siku hizi ni sawa na kumchinja Kobe, lazima uchinje kwa timing. Click to expand... ha hahaha kobe ha hahaha
Nanoli said: Kwani hilo la kuzalishwa hujawahi lisikia? Halitakoma mkuu... Ila kuoa siku hizi ni sawa na kumchinja Kobe, lazima uchinje kwa timing. Click to expand... ha hahaha kobe ha hahaha
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 May 31, 2017 #28 BIGstallion said: Heh,na mim natoa apo apo,tena ndo naanza,.afu wanakufungia kweny kale kachemba ka mikojo,...nkua sijakuelewa haha Click to expand... ha haha wewe
BIGstallion said: Heh,na mim natoa apo apo,tena ndo naanza,.afu wanakufungia kweny kale kachemba ka mikojo,...nkua sijakuelewa haha Click to expand... ha haha wewe
colin_morgan JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 2,443 Reaction score 2,926 May 31, 2017 #29 kwa kwel hawa wanawake ni balaa sna hata kma wanapokea mabilion na mume anapokea laki moja hawatochangia hata penny
kwa kwel hawa wanawake ni balaa sna hata kma wanapokea mabilion na mume anapokea laki moja hawatochangia hata penny
BIGstallion JF-Expert Member Joined Sep 13, 2016 Posts 6,324 Reaction score 7,919 May 31, 2017 #30 miss chagga said: nitakuwa nishakufaidi nakuachia nafasi usiomeshe mwanao huku nikila zangu kwa raha Click to expand... Mpaka wakati uo umechoka vibaya mpaka unatoa huruma haha
miss chagga said: nitakuwa nishakufaidi nakuachia nafasi usiomeshe mwanao huku nikila zangu kwa raha Click to expand... Mpaka wakati uo umechoka vibaya mpaka unatoa huruma haha
patrickkapaya Member Joined May 4, 2013 Posts 9 Reaction score 1 May 31, 2017 #31 Papaa2 said: Hawa watu cjui wanapeleka wapi pesa zao Click to expand... Hahahaaaa
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,739 Reaction score 5,978 May 31, 2017 #32 Shughuli ya kumchinja Kobe sio ndogo, ujiandae vzr na kisu kikiwa juu, uvizie kichwa cha Kobe anapokitoa Mara tu, bila kuchelewa ushushe kisu chap!...hahahahahaaaaa....
Shughuli ya kumchinja Kobe sio ndogo, ujiandae vzr na kisu kikiwa juu, uvizie kichwa cha Kobe anapokitoa Mara tu, bila kuchelewa ushushe kisu chap!...hahahahahaaaaa....
Joop JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 346 Reaction score 672 May 31, 2017 #33 Chako chake, chake chake... wadada shikamoo!!
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 May 31, 2017 #34 miss chagga said: ndiyo ukweli Click to expand... Shemeji kwenye pesa upo vizuri!!
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,160 Reaction score 72,200 May 31, 2017 #35 niah said: Joseverest usiseme ndio sema ndiyo ndio ni wingi wa ndiye. Click to expand... asante kwa usahihisho mkuu
niah said: Joseverest usiseme ndio sema ndiyo ndio ni wingi wa ndiye. Click to expand... asante kwa usahihisho mkuu
Mr wenu JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 1,088 Reaction score 1,666 May 31, 2017 #36 Behaviourist said: Click to expand... Nimeelewa sana mkuu. Doooh
Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,429 May 31, 2017 #37 Papaa2 said: Hawa watu cjui wanapeleka wapi pesa zao Click to expand... Unataka kujua tunako peleka??
Papaa2 said: Hawa watu cjui wanapeleka wapi pesa zao Click to expand... Unataka kujua tunako peleka??
Mehek JF-Expert Member Joined Feb 26, 2017 Posts 7,473 Reaction score 10,429 May 31, 2017 #38 Hahaaaa ubuyu hilo swali aliwahi niuliza bwanaangu mmoja heiii Natania ila lisemwalo lipo............... Cc😡Michaelray
Hahaaaa ubuyu hilo swali aliwahi niuliza bwanaangu mmoja heiii Natania ila lisemwalo lipo............... Cc😡Michaelray
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,705 May 31, 2017 #39 miss chagga said: ndiyo ukweli Click to expand... Nyie chuma ulete tuuh..!
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,769 Reaction score 3,267 May 31, 2017 #40 Eti kwenye VICOBA