Nakubaliana na mtoto mzuri kwamba waundao serikali ya mpito na kuongoza marekebisho wasiwe na nafasi ya kugombea kwenye uchaguzi ujao.
Wanahitaji watu wenye nia ya kweli ya kuleta mabadiliko na muundo mpya wa utawala. Wasiokua na malengo binafsi ambayo yamaweza athiri "objectivity" yao katika utendaji.
Wamisri yabidi wawe makini katika kuunda huo uongozi wa mpito. Vinginevyo itakua ni kucheza "makedamakeda".