Ndesalee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 1,092
- 522
Wanajamvi nasikitika kuwa Console cable imenikosesha kazi,eGA. Kila niki-connect hiyo cable btn router & pc as required,inakataa kupeak router informations,ikiwa imebaki 20min to time ndo ikakubali.
Commands zote za kufanyia configuration nilikuwa nazijua,ila ndo hvo tena muda haukuwa rfk kwangu.
Nb: Tatizo hili liliwatokea karibia candidates wote.
Commands zote za kufanyia configuration nilikuwa nazijua,ila ndo hvo tena muda haukuwa rfk kwangu.
Nb: Tatizo hili liliwatokea karibia candidates wote.