Katika Jina La Yesu,tumeomba na kuamini..Amen. Mungu akubariki.
True love does nt look on externals with true love na dedication kati ya wapenzi,kumujumuisha Mungu katika mapenzi yenu,kuombeana hakika ndoa itadumu na itakuwa na furaha pia tukumbuke its was blessed for us. Ndoa ni takatifu
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums[/QUOTE/] tena na ni KITU CHEMA!
nawe pia ubarikiwe mamii!mi leo nimeamka nimepitia hizi thread humuu nimepitia za huku nakule,nimepitia jukwaa la sheri kule nako nakuta msaada wa kisheria unaombwa kwa kiasi kikibwa ni kuhusu ndoa(actually talaka),nikijumlisha na real life situation tunazokutana nazo kama story na zinazotuhusu nikaamua nisali tu maana nahisi hali ni mbaya zaidi tunavyofikiri!
ukijua huu wenzio wanajua ule,kwa hiyo mbinu zote zinatumika ili MMU men muwe waumini wetu tu!na si wa wa wengine!
hili kanisa si la kitoto lol....
umeona enh manake tumeambiana kuwawekea udi weee mbado
tumeona tulegeze sauti weee mbado
tufundishane kupika weee mbado
tupeane unyago kwa PM weee mbado
tuwazalie watoto wee mbado kila siku watu wanalia humu
tuwapigie magoti wee mbado tu watu wanatafuta nje cup
sasa bora tu tufungue kanisa la maombi watu warudi kwenye mstari
yani mi kwa kweli huwa naumia kweli haya mambo yanayopostiwa humu ndani The Boss.shida ni kubwa rafiki yangu!ndoa nyingi sana mambo ni hovvyo hovyo!ukijumlisha na huku uraiani,maofisini bs dag!wacha tu MMU WOMEN tuwe wachungaji!
yaah ni kweli kabisa watu hatujui jinsi ya kuwa na furaha wenyewe ili tuwape furaha wenginekuna mvurugano mkubwa mno
nafikiri inaaanza na watu kushindwa kujua
'how to live happily wenyewe'
kabla ya ku share that happiness na wengine
so mtu yuko miserable anasambaza misery tu kwa wengine
AMEEEN! charminglady si unajua nguzo ya familia ikiparaganyika ndo kila kitu mpaka taifani ni tatizo.kweli kabisa shetani amezikamia familia jamani!angalia jinsi migogoro mingi inavolipuka wakti wa maandalizi ya harusi?simply becoz hataki watu waoane,na matokeo yake wakioana anawaandama kwenye ndoa mpaka inakosa thamani!watu siku hizi kuachana au kutengana baada ya mwaka tu ni kama kawaida na wala jamii haistuki!hili tatizo ni kubwa sana basi tu kutokana na mazoea yetu ya kutokuzungumza,ndo mana tawimu sahihi zinakosekana!Ameen dada snowhite, lakini haya yote yalitabiriwa katika biblia. nyakati za mwisho upendo wa wengi utapoa na ndivyo inavyotokea katika ndoa na maisha kwa ujumla. Amani imetoweka, shetani anajua wakati wake ni mfupi sasa anajitahidi kuvunja nguzo kuu za amani ambazo ni imani (dini) na ndoa. kwani ukiwa na imani thabiti ndoa yako itakuwa imara. sasa anaamua kuvuruga imani za wengi then hofu ya Mungu inatoweka na wanandoa wanafarakana. Ee Mungu utusaidi kusimama imara katika imani . . . Amen!