Hardwaycomes
JF-Expert Member
- Dec 26, 2018
- 370
- 494
Hahaaa,mkuu mimi nlitaka kumsaidia tu huyu binti,aachane na hiyo biashara,lakini hilo jibu la mwisho hapo limenivunja moyo sanaKwahiyo mmefikia wapi mpaka sasa, mna mpango gani
Sina picha yakeaiseee... hyo buku 5 unamjaribu tu au!?? maana hata ukimpa bado atataka ya kuvaa n.k haitasaidia.. sema ebu tupia na picha yake tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu atuhurumie sanaDuh...!
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Kama haya nikweli mbona hapo mwisho hajakataa! Kaanae chini mujadili unamsaidiaje sio siku 2 umeingia mitini,pia ukitaka kumsaidia kweli usimpe pesa bali mtafutie kitega uchumi basi,utakua umemaliza kazi kumsaidia mtu ela yakula kila siku kazingumu sana maana kuna malazi mavazi na dhalula zahapa na pale.utachokaHahaaa,mkuu mimi nlitaka kumsaidia tu huyu binti,aachane na hiyo biashara,lakini hilo jibu la mwisho hapo limenivunja moyo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Good advice mkuu,Kama haya nikweli mbona hapo mwisho hajakataa! Kaanae chini mujadili unamsaidiaje sio siku 2 umeingia mitini,pia ukitaka kumsaidia kweli usimpe pesa bali mtafutie kitega uchumi basi,utakua umemaliza kazi kumsaidia mtu ela yakula kila siku kazingumu sana maana kuna malazi mavazi na dhalula zahapa na pale.utachoka
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu anajua kua ni mbabaishaji ndo mana hajakutilia maanani ila kwenye biashara hapo ndo yuko serious!.
Good idea,wewe inakufaa 50k na unamudu gharama za maisha yako...Huyo hana hata mwelekeo wa kusaidika anaipenda kazi yake..ebu nipe mie hyo buku tano kila siku nitembeze beseni la matunda
haswaa,fanya kuituma kesho asbh nidamkie sokon
Weka namba yako hapa,nikutumie sasa hivi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]haswaa,fanya kuituma kesho asbh nidamkie sokon
😄😄daaah haya banaWeka namba yako hapa,nikutumie sasa hivi...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app