Hawa wasanii tofauti yao ya uimbaji na beat zao kwa asilimia kubwa zinafana, je wewe unawazungumziaje? Sikiliza wimbo wa Akcent How deep is your love na Stereo love ya Edward maya pamoja na nyingne nyingi utaelewa nachomaanisha.
ngoja nkwambie mkuu nyimbo zinazofanana za hao wasanii ni wimbo wa Thats my name by Akcent na Stereo love by edward maya na huyo akcent ngoma zake nyingi karekodi kwa edward maya na kama unavyojua mziki wa edward maya na watu wote wa romania jinsi ulivyo so lazima iwe ile ile