Huyu bwana na Kamati yake, kama zilivyo Kamati nyingine ambazo ni swamps of corruption wanajaribu kufanya blackmail kwa serikali na mawziri wao, ndo maana wanaumbuka na hizo rushwa wanazoomba.
Nimependa kauli yake dhidi ya malawi ila SIMKUBALI HATA KIDOGO.kauli yake ya jana japo ina impact but anatafuta credibility kisiasa.HATA HIVYO AKISIMAMA KWA CCM Hatashinda hata wamlete gamba la kukodi toka MABWEPANDE nothing else..hence chadema 4 life
Hana lolote huyu EL alishachafuka hasafishiki.Asitafute umaarufu kwa kuitumbukiza nchi vitani, suala la Malawi na Ziwa Nyasa ni dogo la kuongelewa tu na linaisha.Wanachadema msishabikie vita wanayotaka magamba kwani wanatafuta pa kujinasua baada ya janja zao zote kugundulika.
hapo ujue kuna dili la kupitisha bajeti ya dharura ili mafisadi wajimegee mafungu.
Utakuja kusikia mabilioni kadhaa yanahitajika kufanya upembuzi yakinifu juu ya suala la vita na malawi
Huyu bwana na Kamati yake, kama zilivyo Kamati nyingine ambazo ni swamps of corruption wanajaribu kufanya blackmail kwa serikali na mawziri wao, ndo maana wanaumbuka na hizo rushwa wanazoomba.
Halafu kwa nini wewe huwa unapanic na ma online beefs haya? sasa utakuna na beef na watu wangapi online? hivi unajua kuna watu wanakuja humu kukuwind up makusudi ili u react?