$$$$$$$$$$$$$$$$$$kama dr muhogo tumezika sembuse sisimizi hawa. huu ni mwaka wa mabadiliko, ni mwaka wa lowasa tutaona mengi na hii bado ni trela. Watanzania tukaze buti sana lazima fisiccm ing'oke. ukisikia hii mwambie na jirani yako ccm imetenga mabilioni na ikishindwa watatumia nguvu lakini haitoboi mwaka huu, siku ya kufa nyani miti yote huteleza!!!!!
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ni lowasa tu kila kona ya nchi....ni mabadiliko tu kila kona ya nchi