Ni kichaa peke yake atakaeiamini hotuba "dhaifu" ya Lowassa aliowasomea watu pale Arusha!!
Na ni mwendawazimu peke yake atakaesema kwamba Lowassa ni msafi!!
Kwa mtanzania yoyote mwenye akili timamu ataungana nami kwamba, Lowassa hawezi kubadili maisha ya Watz, na kuwatoa kwenye huu mkwamo! Hayo matumaini mapya yanayokuja uzeeni ni ya namna gani?!
Watu wamebaka mpaka katiba ya wananchi, (Chenge), na wakaandika ya kwao binafsi! Leo hii hao hao ndo wanajiandaa kwenda Ikulu! Huu ni upunguan uliopitiliza... Ikulu wanaenda kufanya nini???
Lowasa anawahadaa watu na watu wanahadaika! Hii ni safari ya machungu imeanza rasmi!!! Let's wait and see!