naona unajaribu kuchokoza reactions zetu. Hizi threads kumhusu huyu fisadi zinletwa mara kwa mara hapa. Mkubwa, mpe tu hiyo kura yako moja na ikiwezekana akuteue uwe mwenyekiti wake wa kampeni. Akigombea atapata hizo mbili tu, najua hata mama Regina atamshangaa!