Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.
Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.
Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.
...
Taarifa zaidi zitakujia
futa hio chiManeno yako yanendana na jina lako
TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.
Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.
Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.
...
Taarifa zaidi zitakujia
Anataka kuwepo kwenye S01E04
Hivi amejifunza Kuongea siku hizi?
Ametokea ccm Huko Vipi Aliku Anajua Kuongea Vizuri?Hivi amejifunza Kuongea siku hizi?
hivi ni mstaafu au alijuzuru mbona mnapotosha cv za watu..TAARIFA YA KUAHIRISHWA MKUTANO.
Waziri Mkuu Mstaafu ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mh Edward Lowassa ameahirisha mkutano na wanahabari aliiokusudia kuufanya leo saa saba mchana.
Taarifa zinasema hatua hiyo imekuja baada ya leo majira ya saa saba usiku kuachiliwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe aliyekuwa akishikiliwa Kituo Kikuu cha Kati Dar es Salaam.
...
Taarifa zaidi zitakujia
Lowasa anajua kuongea labda magufuli ndiye ajifunze kuongea kwani tunajua anaongea kama mtoto anayejifunza kuongea kawaida yake anaweza kuongea neno lolote hata matusi mbele ya wazazi kwa kuwa hajui nini maana yake.Hivi amejifunza Kuongea siku hizi?
Kweli aiseemtu mwenyewe hata mwaka JF huna sikushangai,akili yako ya kifacebook tu huku hatupost picha zangono relax ma nigga