Si kosa lako ni kosa la umaskini wako kufanya chek up si kuumwa tatzo mmeshazoea mpaka muwe mahututi ndio mtaenda hosptal lowasa yupo strong na tayar kwa vta ya urais mpooooooooooooo.....lowasa 2015
hebu tuacheni unafiki hivi kweli kama kuna watu ambao wanasikiliza hotuba za majumuisho ya bajeti za wizara huwa hawasikii akitajwa?? karibu kila wizarakatajwa kachangia kwa maandish na hushukuruwa sasa mlitaka hadi asimame aseme ndipo mujua kachangia??
Lowassa sio mtu wa kusimama na ktoa povu kama hao wajinga wengine eti kwa kivuli cha kuwatete wananchi kumbe wanawaangamiza, the guy is smart and he knows how to play his cards well.

Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
Usimwone kobe kakaa kimya ukafikiri kafa, anatunga sheria. Pia kumbuka kimya kingi kina kishindo kikuu. Vilevile 'silence speaks!'Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
Nimekuwa nafuatilia vikao vya bunge mara nyingi lakini sijamsikia Lowasa akichangia lolote kwa jimbo lake au Taifa, ni nini anachofanya bungeni? au anasubiri posho ziingie!
hana mdomo?
tena huwa hana hata kalamu wala karatasi.
kwani kusema kunaongeza nini? mbona hao wanaosema hakuna walicho badilisha?
Anajiandaa kuchukua nchitena huwa hana hata kalamu wala karatasi.
Kila binadamu mwenye akili timamu na siha nzuri akiamka asubuhi anakuwa na malengo ya vitu atakavyotimiza siku hiyo aliyojaliwa kuwa ahi. Hata mtoto wa darasa la kwanza anajua anakwenda kufanya nini shuleni. Sasa huyu Mhe WM aliyejitoa mhanga - huwa anaamka asubuhi, anaoga, anavaa suti, na kumuaga mkewe kuwa anakwenda kukaa pale ukumbi wa majadiliano wa bunge kama KISANAMU, yaani kama vile tunavyoviona kwenye maduka ya urembo!! na ikifika mwisho wa siku anakusanya posho inayotokana na wavuja jasho!! Kwa nini hiyo nafasi asimwachie Mmasai mwingine mwenye nia ya kujadili maendeleo ya Monduli na taifa kwa ujumla!!