....Ana Digirii?Huyu uwa ni mwiba sana
Degree za wizi kama alizokuwa anaulizia Ben?....Ana Digirii?
Hapana. Naulizia Digrii ya Kiukwelii. Napenda kujua tu. Si unafahamu tena Sheria ya habari ilsainiwa KWA MWENDO KASI...Inawahitaji Wana habari wawe na Digirii (kama Amminia Mollel)....Degree za wizi kama alizokuwa anaulizia Ben?
Anhaaa! Myao....hapa naona ata "singiziwa" kuwa ni Nzawa wa Nsumbiji.....Yale yale ya Ulimwengu...Siyo Thomas. Yule mwingine..Huwa napenda uchambuzi wa [HASHTAG]#EddoKumwembe[/HASHTAG] katika habari za michezo,ana uwezo wa kujieleza na kuchambua mambo.
Wakati ule akiwa Kampuni ya New Habari Corporation(2006),alikuwa akiandika pia Makala ktk gazeti la Rai.
Zilikuwa ni makala nzuri na zinzosisimua...Lakini [HASHTAG]#Eddo[/HASHTAG] nae ni "dikteta uchwara" kwenye Page yake ya Fb...Mimi aliniblock sbb nilikuwa najadiliana naye kwa hoja juu ya jambo fulani na akaonekana kuzidiwa...Ha ha ha ha ha ha ha!!Akaona isiwe tabu...akanipotezaaa kama Ulimboka
Ila sijawahi kumchukia,bado naendelea kumsoma kupitia mwanaspoti na sehemu nyingine napopata wasaa wa kumsoma...Huongea kile anachokifahamu na hujua namna ya kukiwasilisha!!Myao/Mmakuwa anayesumbua Mjini...Ha ha h aha ha
yupo vizuri, ila hisia zinamwendesha sometimes, kama hiyo post hapo juu naona imejaa mihemko kuliko tafakariHuwa napenda uchambuzi wa [HASHTAG]#EddoKumwembe[/HASHTAG] katika habari za michezo,ana uwezo wa kujieleza na kuchambua mambo.
Wakati ule akiwa Kampuni ya New Habari Corporation(2006),alikuwa akiandika pia Makala ktk gazeti la Rai.
Zilikuwa ni makala nzuri na zinzosisimua...Lakini [HASHTAG]#Eddo[/HASHTAG] nae ni "dikteta uchwara" kwenye Page yake ya Fb...Mimi aliniblock sbb nilikuwa najadiliana naye kwa hoja juu ya jambo fulani na akaonekana kuzidiwa...Ha ha ha ha ha ha ha!!Akaona isiwe tabu...akanipotezaaa kama Ulimboka
Ila sijawahi kumchukia,bado naendelea kumsoma kupitia mwanaspoti na sehemu nyingine napopata wasaa wa kumsoma...Huongea kile anachokifahamu na hujua namna ya kukiwasilisha!!Myao/Mmakuwa anayesumbua Mjini...Ha ha h aha ha
Wa Lumumba mmeanza kutema pumbaSasa huyo Eddo Kama sio mnafiki mbona ameshindwa kuuliza kwanini Mbowe yuko kimya?
...Kumwembe...Yaani KWENYE Mwembe. Eddo waweza sema DODO. Kwa hiyo uchambuzi wake ni kama DODO kwenye MWEMBE! Ni kweli huwezi lipata Dodo kwenye Mlimao....kumwembe nadhani anapaswa kua makini kidogo, ukizingatia watu wengi wanamsoma na kumfuatilia
Alipoweka hizo picha kwa pamoja na kuandika alichoandika ana imply Magufuli anahusika moja kwa moja na kupotea kwa Ben Saanane
Inaweza kuwa anahusika au hausiki, ila kwa kuwa lina utata bado sio vizuri kuweka picha inayotoa conclusion kwamba anahusika na kuhukumu
au mihemko imemzidi nguvu..of course he's human too
Hizi picha kawekaa mleta mada, kwenye page ya Edo Facebook hakuna picha ni maelezo tu.kumwembe nadhani anapaswa kua makini kidogo, ukizingatia watu wengi wanamsoma na kumfuatilia