Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,750
- 47,064
Kisa mnamtupia majini leo mnamgeuka?Mayele anafanana na washabiki wa Simba
Majini mnayo au hamuna?Hizi tuhuma angezitoa mchezaji wa ndani ningeweza kumuelewa kwamba ni mswahili mwenzetu asiye na upeo.
Ila kwa mchezaji wa kulipwa inashangaza na kiukweli Mayele kazingua na heshima yake imeshuka.
Katika watu mapoyoyo basi ni huyo chapombe hana akili na simsikilizagi,kiufupi muache kurushiana majini pumbav zenuTatizo la Mayele ni majivuno fulani ambayo anayo. Anafahamu kauli yake itazua taharuki nchini kwa sababu bado ni maarufu hapa nchini.
Angeweza kukaa kimya tu na kufanya mipango yake kuliko kujali sana masuala ya mitandao ya kijamii. Haimsaidii.
Wachezaji wa kulipwa kazi yao ni kucheza soka na kupuuza kelele za mashabiki. Mashabiki kazi yao kubwa pia ni kukutoa mchezoni.
Kukabiliana na changamoto za wachezaji wa timu pinzani, pia mashabiki wa timu pinzani pamoja na wale mashabiki wako ni kazi ya mwanasoka wa kulipwa.
Kuelekea pambano la Pyramids na Mamelodi pale Afrika Kusini, Mayele alikuwa amenyimwa viza ya kuingia Afrika Kusini. Akaenda katika mtandao wake na kuandika kwamba huo ulikuwa mpango tu wa Mamelodi kuhakikisha hachezi pambano hilo.
Kocha wa Mamelodi, Rhulani Mokwena akamjibu Mayele aachane na mambo ya mitandao.” - [emoji2788]Edo Kumwembe.
huna fact umeakalia mihemko tuKatika watu mapoyoyo basi ni huyo chapombe hana akili na simsikilizagi,kiufupi muache kurushiana majini pumbav zenu
Kwani jamaa kawatibua nini watanzania?
Majini mumtupie nyie gongowazi lawama kwa Simba,wachawi wakubwa nyieMayele anafanana na washabiki wa Simba
Yaani kweli shukrani ya punda mateke,yaani Mayele alivyowabeba Yanga leo hii wanamlipa kwa kumtupia majini !Tatizo ametupiwa majini, wabaya sana wale…..
Kwanini mumtupie majini mkongomani wa watu?Hizi tuhuma angezitoa mchezaji wa ndani ningeweza kumuelewa kwamba ni mswahili mwenzetu asiye na upeo.
Ila kwa mchezaji wa kulipwa inashangaza na kiukweli Mayele kazingua na heshima yake imeshuka.
Kiukweli hata mimi nimemshusha sana. Maana huwezi kuwa mchezaji wa kulipwa, halafu muda wote uko kwenye mitandao kujibizana na watu.Hizi tuhuma angezitoa mchezaji wa ndani ningeweza kumuelewa kwamba ni mswahili mwenzetu asiye na upeo.
Ila kwa mchezaji wa kulipwa inashangaza na kiukweli Mayele kazingua na heshima yake imeshuka.