Editing za picha za wanaume dar

Unatafuta kikk wewe sura kaa amorappa hiyo. Na bongo wap na wap
 
Ni ajabu kuona mwanaume anafatilia wanaume wengine.

Halafu hao sio wa dar
 
Kwa muonekano wao hata Dar hawajawahi kufika. Alafu huyo jamaa wa chini ndio kabisaaa. Kwanza Dar hakuna matofali ya udongo.

Ilo jamaa la juu linatokea kanda ya ziwa tu.
 
Ukiwa Dar unahitaji editing ya nini? Editing inafanyika uko machakani ili ionekane kama Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…