EDGE Vs 3G.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Nahitaji Elimu zaidi Juu ya Network hizi Mbili (EDGE na 3G).
 
Edge ni evolution ya gsm technology 2.5 G,it involves highly sophisticated data coding mechanisms. High data rates zinakuwa achieved kwa kutumia digital coding techniques kama phase shift keying kuweza kutuma data katika speed kubwa,faida yake ni kwamba huhitaji kubadili mfumo au hardware,software,kwa mfano TTCL wao wanatumia minara yao ile ile ya zamani kutuma data katika speed kubwa.

3g ni standard, ya mobile communication,service nyingi kwa mfano, hspa,hspda, umts, w-cdma,cdma,zinabeba jina la 3g kwa kuwa zina uwezo kwa kutransmit data katika speed kubwa ambayo imekuwa defined na international standards. .ukiongelea perfomance edge itakuwa nyuma kidogo ya technology zingine ambazo,zina uwezo mkubwa na zimeboreshwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ