Eddo hajalala ameficha tu makucha.

cheetah255

JF-Expert Member
Oct 19, 2017
1,373
2,385
Ukweli ni kwamba ccm ya miaka kumi iliyopita imegawanyika kwenye ukanda.Turejee kauli ya riz moko"nchi haiwezi kwenda kaskazini"kwa tafsiri ya haraka ni kwamba nchi haiwezi kuongozwa na mtu ambaye si mswahili.

Hii ni kauli iliyo muumiza sana edoo pale Dodoma na kunishinikiza kundi lake kubwaa liwaadhibu waswahili wote na msomali mmoja aliyeko kwenye kwenye baraza la wazee kwa kumchaguwa magufuli.

Tukumbuke maneno ya kwanza kabisa kutamkwa na eddo aliporudi ccm"magufuli ni visionary leader kuna wanasiasa wengine ni bookkeeper,kura zangu milioni sita mpeni magufuli"

Kinana utarudi kwenu somalia na utatapika meno ya tembo uliyo uza,utarudisha ardhi ya loliondo iliyo wauzia waarabu na kuchoma nyumba za wazawa.

Edo bado muda mdogo tu uwaaibishe watesi wako,waache wachezee sharubu kwanza wakifikiri umelala.
 
Lakini mwisho wa yote haya ni nini.........kama kweli lengo,nia, matamanio ni kuifanya Tanzania iende mbele na uchumi imara, je haya makundi na minyukano itatufikisha huko tunakotaka kwenda?
 
Ukweli ni kwamba ccm ya miaka kumi iliyopita imegawanyika kwenye ukanda.Turejee kauli ya riz moko"nchi haiwezi kwenda kaskazini"kwa tafsiri ya haraka ni kwamba nchi haiwezi kuongozwa na mtu ambaye si mswahili.

Hii ni kauli iliyo muumiza sana edoo pale Dodoma na kunishinikiza kundi lake kubwaa liwaadhibu waswahili wote na msomali mmoja aliyeko kwenye kwenye baraza la wazee kwa kumchaguwa magufuli.

Tukumbuke maneno ya kwanza kabisa kutamkwa na eddo aliporudi ccm"magufuli ni visionary leader kuna wanasiasa wengine ni bookkeeper,kura zangu milioni sita mpeni magufuli"

Kinana utarudi kwenu somalia na utatapika meno ya tembo uliyo uza,utarudisha ardhi ya loliondo iliyo wauzia waarabu na kuchoma nyumba za wazawa.

Edo bado muda mdogo tu uwaaibishe watesi wako,waache wachezee sharubu kwanza wakifikiri umelala.
Mshamuongezea dozi sasa hivi mzee wa watu anavaibreti kama lile tetemeko la Kagera,wauaji wakubwa.
 
Mlimbembeleza arudi ili mumalizie,nyie siyo watu kabisa.
Ccm na mkakati wa kuwamaliza matajiri na wanasiasa wenye msimamo huru, ndesamburo kaenda, Mengi kaenda, Mawazo kaenda, kingunge kaenda, Mungai kaenda, lissu walijaribu imegoma, Zacharia imegoma, Mo,imegoma, Mbowe imegoma, ruge, manji, Seth, wako kwenye surveillance
 
Back
Top Bottom