ECOWAS yaiondolea vikwazo Mali baada ya nchi hiyo kuunda Serikali ya Mpito

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeondoa vikwazo vilivyowekwa dhidi ya nchi hiyo kufuatia mapinduzi ya kijeshi yaliyomuondoa Ibrahim Boubacar Keita madarakani

Hatua hiyo inakuja baada ya Jeshi kuunda Serikali ya mpito inayojumuisha raia wa kawaida na Wanajeshi ambapo Bah Ndaw aliteuliwa kuwa Rais

ECOWAS imesema imefikia uamuzi huo kwa kuzingatia hatua ambazo Mali imepiga katika kuirudisha nchi katika mfumo wa kikatiba

=====

The West African regional group - Ecowas - has lifted sanctions imposed on Mali following a coup that ousted President Ibrahim Boubacar Keita in August.

This comes after military authorities formed a transitional government comprising of army officials and civilians.

"Taking into account the notable progress made towards a constitutional normalisation, and the support the process, the heads of states have decided to lift the sanctions on Mali, and called on partners to support Mali," Ecowas said in a statement.

Mali's transitional leaders announced a new government on Monday, with some of the top posts going to military officials.

Col Bah Ndaw was named as interim president, and Moctar Ouane as prime minister.
 
Back
Top Bottom