nchi tz inaingia/ipo kwenye mfumo wa Kibepari, kutokana na mfumo huu, watu wachache wenyenazo ndio wenye nguvu ktk uchumi wa nchi na ndio hao walioihujumu tz kwa miaka 10, kwa kitendo chao cha wengine kuhamisha mabilion yao. walifanya hivi aidha kwa makusudi ili serkali ya jk ionekane ni dhaifu kwa kushindwa kusimamia uchumi au kwa kumuogopa asiwasumbue KWAMTAZAMO WANGU, akishinda Magufuri Nchi itaendelea kua kama kwa serkali ya jk, kwa7bu timu ya magufuri haina mtandao wa wenye nazo, na kwa tabia yake ya kibabe wasipo angalia na wengine wata hamisha mabilion yao na hata wawekezaji wengi watahama na kwenda kuwekeza nchi zingine, kwahiyo anahitaji apate washauli wazuri.
Akishinda LOWASA uchumi unaweza kuimalika kwa7bu,
-anajulikana kimataifa kuhusu na wawekezaji hatakua na wasiwasi jinsi ya kuwapata na kuwaseti.
-pia anao mtandao wa wenyenazo na wafanyabiashara wakubwa na wadogo.