masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,688 Reaction score 14,701 Jan 4, 2014 #21 MziziMkavu said: Click to expand... Chautundu, aisee na mimi nimekula mboko kisawasawa nilopokuwa kinda!!!
MziziMkavu said: Click to expand... Chautundu, aisee na mimi nimekula mboko kisawasawa nilopokuwa kinda!!!
kachu snipper Member Joined Dec 22, 2013 Posts 76 Reaction score 7 Jan 4, 2014 #22 masopakyindi said: Chautundu, aisee na mimi nimekula mboko kisawasawa nilopokuwa kinda!!! Click to expand... Ebwana dah haya bwana
masopakyindi said: Chautundu, aisee na mimi nimekula mboko kisawasawa nilopokuwa kinda!!! Click to expand... Ebwana dah haya bwana
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,452 Reaction score 17,927 Jan 4, 2014 #23 hivi hata watoto wa kizungu wanafanyiwa hivi?
CHIKITITA JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 445 Reaction score 158 Jan 4, 2014 #24 hapo st kayumba kabisa, nakumbuku shule ya msingi kuna mwalimu alikuwa anaitwa mzurikwao, ilikuwa full discipline na sasa watu wanakula bata.
hapo st kayumba kabisa, nakumbuku shule ya msingi kuna mwalimu alikuwa anaitwa mzurikwao, ilikuwa full discipline na sasa watu wanakula bata.
charger JF-Expert Member Joined Nov 21, 2010 Posts 2,320 Reaction score 1,373 Jan 4, 2014 #25 Hapo nimeshapaka up.u.pu kwenye meza ya mwl.na ni wakati wa kutajana na bahati mbaya napata kura nyingi.
Hapo nimeshapaka up.u.pu kwenye meza ya mwl.na ni wakati wa kutajana na bahati mbaya napata kura nyingi.
Mshobaa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,720 Reaction score 690 Jan 4, 2014 #26 Siku nikimkuta mwalimu anamwadhibu mwanangu namna hii nambaka mbele ya kadamnasi ya shule yote. Nyambaff kabisa
Siku nikimkuta mwalimu anamwadhibu mwanangu namna hii nambaka mbele ya kadamnasi ya shule yote. Nyambaff kabisa
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Jan 5, 2014 #27 Excel said: hivi hata watoto wa kizungu wanafanyiwa hivi? Click to expand... Hawa uzuri sio wazungu
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,379 Reaction score 13,193 Jan 5, 2014 #28 Chapa sawa ila isiwe mbele ya mademu noma...
E Eyoma Senior Member Joined Sep 9, 2011 Posts 166 Reaction score 41 Jan 16, 2014 #29 Mshomba said: Siku nikimkuta mwalimu anamwadhibu mwanangu namna hii nambaka mbele ya kadamnasi ya shule yote. Nyambaff kabisa Click to expand... we ndo unaelea wanao kama mayai eti hawachapwi.one day u will regret.
Mshomba said: Siku nikimkuta mwalimu anamwadhibu mwanangu namna hii nambaka mbele ya kadamnasi ya shule yote. Nyambaff kabisa Click to expand... we ndo unaelea wanao kama mayai eti hawachapwi.one day u will regret.