Ebu chukua hii

kapingili

Senior Member
Joined
Jul 4, 2012
Posts
155
Reaction score
192
Je upo jela umekamatwa na
ulifungwa mwaka 1 na miezi 6
unarudi unamkuta mkeo ana
mtoto wakati we ulivyo enda jela
haukumuacha na mimba lakini
ktk kukaa chini na kupeleleza
unaambiwa kuwa kaka ako wa
damu ndio alikuwa anakuja kulala
pale kila day na aligeuza pale
kama kwake hivi
JE UTACHUKUA HATUA GANI KAMA
WEWE UNAKUTWA NA ILI
 

Ndio nini sasa?
 
Namtafuta mke wa kaka nimpe mimba
 
sunatafuta mke mwingine unaoa kwani yupo yeye tu yanini uishi na mtu malaya wakati na maisha yenyewe mafupi sana kama nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…