nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Rwanda sio afrika mashariki, a.mashariki ni kenya uganda na tanzania. Sema ni nchi iko karibu kabisa na t.z na mi mtu yake kilasiku iko kagera na kigoma lol!
Hapa jibu la Kikwete linahusika sana.
Rwanda sio afrika mashariki, a.mashariki ni kenya uganda na tanzania. Sema ni nchi iko karibu kabisa na t.z na mi mtu yake kilasiku iko kagera na kigoma lol!
Rwanda sio afrika mashariki, a.mashariki ni kenya uganda na tanzania. Sema ni nchi iko karibu kabisa na t.z na mi mtu yake kilasiku iko kagera na kigoma lol!
Hii elimu yako uliipitia wapi?Hebu niambie nimuongezee mwalimu wako mshahara
Hayaa. Chigali na KIA na JNIA ni mwendo mchache sana kwa rwandaiar. Waziri wa CCM anasema wamejiandaa. Ninavyoijua magamba watasema hata Ebola imeletwa na CDM maana wao kila kitu kwako ni politics.
Sent from my iPad using JamiiForums
Na wao wana magonjwa yao yanawatesa na kuwamaliza kama Saratani, Magonjwa ya moyo, Mafua.Wamarkenj watatumaliza mwaka huu. Huko kwao ciwanda vya kutengeneza dawa ya ebola stocks zao ziko juu. Sijui lini viongozi wa kiafrica waatcha kulamba miguu ya wazungu.
Haya mambo tunayataka wenywe
The King.