Ebola yatua Afrika Mashariki

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
4,507
Reaction score
1,105
Mwanafunzi wa Kijerumani aliyewasili Rwanda kutoka Liberia amewekwa kwenye karantini mjini Kigali akiwa na dalili zinazofanana na za ugonjwa wa Ebola.


==============


CHANZO: Mtanzania

=====================

Waliohofiwa kuwa na Ebola wagundulika kutokuwa na ugonjwa huo. Kwa taarifa zaidi fuatilia kiunganisho hiki - https://www.jamiiforums.com/international-forum/705692-rwanda-ebola-case-tests-negative.html
 
Mwanafunzi wa Kijerumani aliyewasili Rwanda kutoka Liberia amewekwa kwenye karantini mjini Kigali akiwa na dalili zinazofanana na za ugonjwa wa Ebola.

Hayaa. Chigali na KIA na JNIA ni mwendo mchache sana kwa rwandaiar. Waziri wa CCM anasema wamejiandaa. Ninavyoijua magamba watasema hata Ebola imeletwa na CDM maana wao kila kitu kwako ni politics.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kesho ikifika tutasema tungejua jana tungezuia safari zote za ndege kutoka West Africa au nchi zote ambazo bado zina direct flight to West Africa.
Hili gonjwa ni tatizo kubwa zaidi ya tunavyofikiri.

Kuna haja ya bunge kukaa kikao cha dharura kuzungumzia jinsi ya kujihami na hili janga mapema kabla halijaingia kwani likiingia hata vikao vya bunge havitaweza kufanyika kwani hofu na mparaganyiko vitatamalaki.
 
Ebola ni serious issue Maccm yaataleta siasa!
 
Tuache zihaka.serekali ielimishe wanachi.nchi za Afrika Mashariki zipige marufuku ndege za abiria,mizigo na binafsi kutoka nchi zilizo na wagonjwa.KQ iambiwe iache uroho wa fedha kwa kuendelea na safari hizi
 
Kama kichwa kinavyoleza ugonjwa wa Ebola leo Dw wametangaza mgonjwa mmoja amegundulika Rwanda, Tanzania kuna jitihada gani kuzuia?
 
dah Mungu aepushie mbali likifika tanzania hili gonjwa ni kiama
 
hahaaaa yaani sisi Tanzania ndo tutajuta ukiingia ..tutapukutika kama mbaazi zinavopasuka wakati wa jua...
 
Sasa ugonjwa wa ebola uko ndani ya Afrika mashariki, mgonjwa abainika nchini rwanda.
 
Rwanda sio afrika mashariki, a.mashariki ni kenya uganda na tanzania. Sema ni nchi iko karibu kabisa na t.z na mi mtu yake kilasiku iko kagera na kigoma lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…