Ebola yatinga Marekani

Nadhani waliokua karibu na jamaa watakua na wao wameambukizwa na wao watakua wameambukiza wengine walio interact nao.
 
hahahahah kwahiyo bila 'mjomba' waafrika hatujiwezi?

mtajiwezaje wakati wakuu wenu wanaenda kushikwa shikwa kule na kuwachekea chekea ..... ukona baba anakubali kupapaswa mjue watotot mnaliwa tayari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…