Uko salama lakini gharama zao mpaka kupata mzigo wako much better nunua straight from eBay, amazon na hizo nyengine kuliko kupitia kwa wakala huyu. Bidhaa ya 12$ nimejikuta nalipa laki mpaka kuupata. Wakati ningenunua mwenyewe kutoka ebay ingenigharimu si zaidi ya tzs 35,000